Latest Episodes
7
7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)
Watu wengi hawafahamu ni kwa nini Yesu alikuja hapa ulimwenguni na akaupokea ubatizo toka kwa Yohana Mbatizaji. Lakini ni lazima tufahamu vizuri kuhusu dhumuni...
8
8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)
Ni hakika kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu muhimu sana katika Biblia. Yohana Mbatizaji aliwalilia watu wa Israeli ili wafanye toba. Ni lazima tuzikumbuke...
9
9. Uhusiano Kati ya Kazi ya Yohana Mbatizaji na Injili ya Upatanisho wa Dhambi zetu (Mathayo 21:32)
Katika Injili ya Yohana sura ya 1 aya ya 6-7 imeandikwa hivi kumhusu Yohana Mbatizaji “Palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana....
10
10. Yesu Aliyekuja Kuzitoweshea Mbali Dhambi Zako (Mathayo 3:13-17)
Hata Wakristo wa leo wanakiri kuwa wanamwamini Yesu kuwa ni Mwokozi wao, lakini wengi wao hawafahamu kuwa Yesu ni Bwana aliyetukomboa toka katika dhambi...
11
11. “Tazama, Namtuma Mjumbe Wangu” (Marko 1:1-5)
Yohana Mbatizaji alikuwa akiuhuburi nyikani ubatizo wa toba wa ondoleo la dhambi. Si hilo tu, alikuwa ni mtu ambaye ataufanya ubatizo wa Yesu ambao...
12
12. Tumwamini Yesu Tukiwa na Ufahamu wa Yohana Mbatizaji (Luka 1:1-17)
Nilipita hapa na pale kukunua ili kukunua mashine ya kudurufu na nikaona watu wengi walikuwa wametingwa wakijaribu kutafuta kitu kitakacho waridhisha. Walikuwa ni watu...