Ni hakika kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu muhimu sana katika Biblia. Yohana Mbatizaji aliwalilia watu wa Israeli ili wafanye toba. Ni lazima tuzikumbuke kikamilifu kazi za Yesu na Yohana Mbatizaji. Yesu, aliyekuja hapa duniani aliwaokoa wanadamu, akitii mapenzi ya Mungu wakiwa pamoja na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji na Yesu walikuja hapa duniani na wakayakamilisha matendo ya haki.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Yohana Mbatizaji alikuwa akiuhuburi nyikani ubatizo wa toba wa ondoleo la dhambi. Si hilo tu, alikuwa ni mtu ambaye ataufanya ubatizo wa Yesu ambao...
Marko 1:2 inasema, “Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako.” Ndugu zangu waamini, unaweza kuipata haki ya Mungu ikiwa tu utatupilia mbali uelewa...
Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya...