Yohana Mbatizaji alikuwa akiuhuburi nyikani ubatizo wa toba wa ondoleo la dhambi. Si hilo tu, alikuwa ni mtu ambaye ataufanya ubatizo wa Yesu ambao utazihamishia dhambi za watu wote wa ulimwengu kwenda kwa Yesu. Kwa kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni nabii wa mwisho wa kipindi cha Agano la Kale na mtu aliyezaliwa katika nyumba ya Kuhani Mkuu, basi ndio maana alikuwa ni mtumishi ambaye atazihamishia dhambi zote za wanadamu kwenda kwa Yesu kwa kupitia ubatizo kwa mujibu wa mapenzi ya Mungu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Watu wengi hawafahamu ni kwa nini Yesu alikuja hapa ulimwenguni na akaupokea ubatizo toka kwa Yohana Mbatizaji. Lakini ni lazima tufahamu vizuri kuhusu dhumuni...
Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya...
Hata Wakristo wa leo wanakiri kuwa wanamwamini Yesu kuwa ni Mwokozi wao, lakini wengi wao hawafahamu kuwa Yesu ni Bwana aliyetukomboa toka katika dhambi...