Nilipita hapa na pale kukunua ili kukunua mashine ya kudurufu na nikaona watu wengi walikuwa wametingwa wakijaribu kutafuta kitu kitakacho waridhisha. Walikuwa ni watu maskini kiroho pamoja na kuwa walikuwa wakiishi katika wakati huu ambapo ulimwengu huu umejaa vitu na utajiri. Walionekana kama vile watu wanaozunguka jangwani wakitafuta njia ya kuwawezesha kupata bilauri ya maji kwa sababu ya kiu kali. Kwa kweli kimtazamo walikuwa ni watu matajiri, wa kimwili, na wa kidunia, lakini kwa kweli nilipoziangalia nafsi zao nilihisi wakionekana maskini na waliotengwa. Kwa kuwatazama kwa macho yangu, walikuwa ni watu waliokuwa wakipigana na kifo kwa sababu walikuwa wamepigwa na umaskini na njaa katika roho zao; walikuwa ni watu waliokuwa wakifa kwa sababu ya njaa kali ya kiroho.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Yohana Mbatizaji alikuwa akiuhuburi nyikani ubatizo wa toba wa ondoleo la dhambi. Si hilo tu, alikuwa ni mtu ambaye ataufanya ubatizo wa Yesu ambao...
Marko 1:2 inasema, “Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako.” Ndugu zangu waamini, unaweza kuipata haki ya Mungu ikiwa tu utatupilia mbali uelewa...
Injili ya Yohana, Vitabu vitatu vya 1, 2, na 3 Yohana, na Kitabu cha Ufunuo ni Maandiko yaliyoandikwa na Mtume Yohana. Kwa kupitia Maandiko...