Katika Injili ya Yohana sura ya 1 aya ya 6-7 imeandikwa hivi kumhusu Yohana Mbatizaji “Palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. Huyu alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.” Katika kifungu hiki, Mtume Yohana anashuhudia umuhimu wa ubatizo ambao Yohana Mbatizaji alimpatia Yesu huku akiuhusianisha na injili ya wokovu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Nilipita hapa na pale kukunua ili kukunua mashine ya kudurufu na nikaona watu wengi walikuwa wametingwa wakijaribu kutafuta kitu kitakacho waridhisha. Walikuwa ni watu...
Marko 1:2 inasema, “Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako.” Ndugu zangu waamini, unaweza kuipata haki ya Mungu ikiwa tu utatupilia mbali uelewa...
Injili ya Yohana, Vitabu vitatu vya 1, 2, na 3 Yohana, na Kitabu cha Ufunuo ni Maandiko yaliyoandikwa na Mtume Yohana. Kwa kupitia Maandiko...