Latest Episodes
1
1. Ni Lazima Uifahamu na Kuiamini Huduma ya Yohana Mbatizaji (Marko 1:1-2)
Marko 1:2 inasema, “Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako.” Ndugu zangu waamini, unaweza kuipata haki ya Mungu ikiwa tu utatupilia mbali uelewa...
2
2. Yohana Mbatizaji Hakushindwa (Mathayo 11:1-14)
Ni huduma gani hasa ambayo Yohana Mbatizaji aliitimiza kabla ya Yesu? Wakristo wengi leo hii hawamfahamu vizuri Yohana Mbatizaji, hivyo wanatakiwa kupata mtazamo mpya...
3
3. Yohana Mbatizaji, Aliyekuja Katika Njia ya Haki (Mathayo 17:1-13)
Kifungu cha Maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Mathayo 17:1-13. Kifungu hiki kinaeleza kuwa Yesu aliwachukua wanafunzi watatu, Petro, Yakobo, na Yohana na...
4
4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)
Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya...
5
5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)
Injili ya Yohana, Vitabu vitatu vya 1, 2, na 3 Yohana, na Kitabu cha Ufunuo ni Maandiko yaliyoandikwa na Mtume Yohana. Kwa kupitia Maandiko...
6
6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)
Kifungu cha maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Yohana 1:30-36. Watumishi wa Mungu wanaoamini katika injili ya maji na Roho wanafahamu wote kuwa...