Ni huduma gani hasa ambayo Yohana Mbatizaji aliitimiza kabla ya Yesu? Wakristo wengi leo hii hawamfahamu vizuri Yohana Mbatizaji, hivyo wanatakiwa kupata mtazamo mpya kuhusu Yohana Mbatizaji ili waweze kumfahamu na kuikubali huduma yake kikamilifu. Sisi sote tunapaswa kuwa na ufahamu sahihi na kuukubali uhusiano kati ya huduma ya Yesu na ile ya Yohana Mbatizaji. Kwa kuufahamu uhusiano huu kikamilifu, basi unapaswa kwanza kulipokea ondoleo la dhambi kwa imani.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya...
Yohana Mbatizaji alikuwa akiuhuburi nyikani ubatizo wa toba wa ondoleo la dhambi. Si hilo tu, alikuwa ni mtu ambaye ataufanya ubatizo wa Yesu ambao...
Katika Injili ya Yohana sura ya 1 aya ya 6-7 imeandikwa hivi kumhusu Yohana Mbatizaji “Palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana....