Injili ya Yohana, Vitabu vitatu vya 1, 2, na 3 Yohana, na Kitabu cha Ufunuo ni Maandiko yaliyoandikwa na Mtume Yohana. Kwa kupitia Maandiko haya, basi tunaweza kuona jinsi imani ya Mtume Yohana ilivyokuwa, na pia jinsi imani ya wanafunzi wa Yesu ilivyokuwa. Mtume Yohana aliamini kuwa Yesu alikuwa ni Mungu halisi aliyeumba ulimwengu wote na sisi wanadamu, na kwamba Mungu alikuwa ni Mwokozi wake na Mwokozi wa wanadamu wote. Sisi sote tunapaswa kuwa na aina hii ya imani.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya...
Hata Wakristo wa leo wanakiri kuwa wanamwamini Yesu kuwa ni Mwokozi wao, lakini wengi wao hawafahamu kuwa Yesu ni Bwana aliyetukomboa toka katika dhambi...
Kifungu cha maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Yohana 1:30-36. Watumishi wa Mungu wanaoamini katika injili ya maji na Roho wanafahamu wote kuwa...